Bugumba.com
No Result
View All Result
  • Login
PRICING
SUBSCRIBE
No Result
View All Result
Bugumba.com
No Result
View All Result
Home POLITICS

MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA ATANGAZA KUJIUZULU

Nhandi bugumba by Nhandi bugumba
August 25, 2026
Reading Time: 1 min read
0
MAKAMU WA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ATANGAZA KUJIUZULU.

Makamu wa Rais wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi leo tarehe 25 Agosti 2026, amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kumjulisha kuwa ameamua kustaafu Siasa na Utumishi wa Umma hivyo atajiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa kwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba kuanzia tarehe 04 Septemba 2026.

RELATED POSTS

EMMANUEL NCHIMBI NI NANI?

MAULID ITUKUMBUSHE KUISHI KWA UPENDO

Kwenye barua yake aliyoiweka katika ukurasa wake wa Instagram, Dr. Nchimbi ameeleza yafuatayo “Tarehe 27 Agosti 2025 nilimuahidi Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa nitamsaidia yeye na Nchi yetu kwa uwezo wangu wote na kwa uaminifu, pia nilimuhakikishia kuwa siku yoyote akiona anahitaji Makamu mwingine wa Rais nitaachia nafasi hii”

Support authors and subscribe to content

This is premium stuff. Subscribe to read the entire article.

Login if you have purchased

Subscribe

Gain access to all our Premium contents.
More than 100+ articles.
Subscribe Now

Buy Article

Unlock this article and gain permanent access to read it.
Unlock Now
Buy JNews
ADVERTISEMENT
ShareTweetPin
Nhandi bugumba

Nhandi bugumba

Related Posts

MAKAMU WA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ATANGAZA KUJIUZULU.
POLITICS

EMMANUEL NCHIMBI NI NANI?

August 25, 2026
MAULID ITUKUMBUSHE KUISHI KWA UPENDO
POLITICS

MAULID ITUKUMBUSHE KUISHI KWA UPENDO

August 25, 2026
Next Post
MAULID ITUKUMBUSHE KUISHI KWA UPENDO

MAULID ITUKUMBUSHE KUISHI KWA UPENDO

MAKAMU WA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ATANGAZA KUJIUZULU.

EMMANUEL NCHIMBI NI NANI?

Recommended Stories

https://tz.usembassy.gov/jobs/

https://tz.usembassy.gov/jobs/

August 28, 2026
MAKAMU WA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ATANGAZA KUJIUZULU.

EMMANUEL NCHIMBI NI NANI?

August 25, 2026

TCU GUIDE BOOK

August 10, 2026

Popular Stories

  • US EMBASSY IN TANZANIA JOB OPPORTUNITIES

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TCU GUIDE BOOK

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • https://tz.usembassy.gov/jobs/

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • US EMBASSY TANZANIA JOBS OPPORTUNITIES

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • ADVANCED MITOCHONDRIAL FORMULA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
bugumba.com

© 2026 bugumba.com - bugumba.com by bugumba.com.

Navigate Site

  • Cart
  • Checkout
  • My account
  • Shop
  • Subscription

Follow Us

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Subscription
  • Category
  • Landing Page
  • Buy JNews
  • Support Forum
  • Pre-sale Question
  • Contact Us

© 2026 bugumba.com - bugumba.com by bugumba.com.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?