Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewatakia Waislamu na Watanzania wote kheri na baraka katika maadhimisho ya Sikukuu ya Maulid.
Kupitia ukurasa wa Instagram, Rais Samia ameandika “ninawatakia Waislamu na Watanzania wote kheri na baraka za Sikukuu ya Maulid,”
Support authors and subscribe to content
This is premium stuff. Subscribe to read the entire article.
Login if you have purchased




