Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET), kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (MoEST), linayo furaha kutangaza kuwa Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria inatoa fursa za masomo (scholarships) zilizofadhiliwa kikamilifu kwa ngazi ya Stashahada ya Juu (NTA 7).
Soma Tangazo Kamili la NACTVET Hapa (Algeria Scholarship 2026/2027)
Deadline is 27th September 2026.








